1 Kings 16:1-3

1 aNdipo neno la Bwana likamjia Yehu mwana wa Hanani dhidi ya Baasha, kusema: 2 b“Nilikuinua kutoka mavumbini na kukufanya kiongozi wa watu wangu Israeli, lakini ukaenenda katika njia za Yeroboamu na kusababisha watu wangu Israeli kutenda dhambi na kunikasirisha kwa dhambi zao. 3 cBasi nitamwangamiza Baasha pamoja na nyumba yake, nami nitaifanya nyumba yako kama ile ya Yeroboamu mwanawe Nebati.
Copyright information for SwhKC